UEFA LEAGUE 2015/2016:-Hii hapa ratiba kamili ya 16 ya michuano hiyo ikionesha timu ambazo zitakutana uso kwa uso - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 14, 2015

UEFA LEAGUE 2015/2016:-Hii hapa ratiba kamili ya 16 ya michuano hiyo ikionesha timu ambazo zitakutana uso kwa uso

Timu ya Arsenal itamenyana na FC Barcelona kwa mara ya tatu ndani ya miaka sita katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016.

The Gunners walishinda mechi zao mbili za mwisho na Dinamo Zagreb na Olympiacos kusonga mbele kutoka Kundi F, lakini sasa watamenyana na Barca ya kocha Luis Enrique kuwania Robo Fainali.

Jose Mourinho kwa mara nyingine amepangiwa Paris Saint-Germain, wakati Manchester City itamenyana na Dynamo Kiev.
 CHAMPIONS LEAGUE LAST 16 FIXTURES AND DATES.

Paris Saint-Germain vs Chelsea – First leg February 16, second leg March 9,2016.

Benfica vs Zenit St Petersburg – First leg February 16, second leg March 9,2016.

Gent vs Wolfsburg – First leg February 17, second leg March 8,2016.

Roma vs Real Madrid – First leg February 17, second leg March 8,2016.

Arsenal vs Barcelona – First leg February 23, second leg March 16,2016.

Juventus vs Bayern Munich – First leg February 23, second leg March 1,2016.

PSV Eindhoven vs Atletico Madrid – First leg February 24, second leg March 15,2016.

Dynamo Kiev vs Manchester City – First leg February 24, second leg March 15,2016.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad