tenco

DSTV

Header Banner

TAZAMA PICHA:-Za uwanja ambao utachangia kipato kikubwa kibiashara kwa Chelsea 2020.

2EF53B2200000578-3340920-The_Barclays_Premier_League_champions_have_consulted_over_the_re-a-21_1448974160340
Chelsea hadi itakapofika mwaka 2020 watakua na uwanja mpya ukiachana na huu wa sasa hivi Stamford Bridge. 

Uwanja huo ambao unaigharimu Chelsea kiasi cha £600million ili kuukamilisha utakua na uwezo wa kuingiza watu 60,000 kwa wakati mmoja.

Design ya uwanja huo unanekana kama temple flani la zamani la Romans na watu wameshaanza kuuita Roman’s temple of football. 

Hizi ni picha za muonekanao wa uwanja huo ambao utachangia kipato kikubwa kibiashara kwa Chelsea.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .