TAZAMA PICHA HAPA:-Maandamano ya Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yamefana, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 21, 2015

TAZAMA PICHA HAPA:-Maandamano ya Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yamefana, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York.

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) imetimiza lengo lake juu ya Maandamano hayo yaolifanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York  yalianza asubuhi mapema ya  saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM) lengo kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015.TAZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA. Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad