TASWIRA PICHA:- Ni mbio za Kilimanjaro Health Run 2015 Zilivyofanyika Mkoani Kilimanjaro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 01, 2015

TASWIRA PICHA:- Ni mbio za Kilimanjaro Health Run 2015 Zilivyofanyika Mkoani Kilimanjaro.

Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume ,Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mwanariadha Banuelia Bryton akihitimisha mbio akiwa nafasi ya kwanza katika mbio za KM 10 kwa upande wa wanawake.
Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi… KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad