MUHIMU SANA:-Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 11, 2015

MUHIMU SANA:-Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu.

Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.

Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.
  • Piga simu 0689 122 515
  • Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095

Video iliyopachikwa hapo chini akizungumza Dk Mpango, ina maelezo haya na mengineyo.
 

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad