LIGI KUU TANZANIA –VPL 2015:-Inaendelea wikiendi hii baada ya mechi za kufuzu kombe la dunia 2018. Tujikumbushe timu yako iko nafasi ya ngapi? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 13, 2015

LIGI KUU TANZANIA –VPL 2015:-Inaendelea wikiendi hii baada ya mechi za kufuzu kombe la dunia 2018. Tujikumbushe timu yako iko nafasi ya ngapi?

Timu ya Simba SC ‘Mnyama’ tayari imeshawasili jijini Mbeya kwa ajili ya kuikabili timu ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara unaotarajiwa kupigwa mwishoni mwa juma hili katika dimba la kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya.Hapa chini ni Ratiba ya mechi hizo za Ligi kuu.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad