TASWIRA PICHA:-Makada wa CHADEMA wanusurika katika Ajali leo October 13,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 13, 2015

TASWIRA PICHA:-Makada wa CHADEMA wanusurika katika Ajali leo October 13,2015.

Joyce Mukya amepata ajali leo October 13,2015, akiwa na Mhe. Lembeli walikuwa wanatoka Arusha kwenda Simanjoro.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa wapo salama wote waliokuwa kwenye Gari hiyo....Picha kwa hisani ya Chadema in Blood

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad