SOKA WILAYA YA NGARA#2015:-Tazama Uzinduzi wa Klabu ya Nzaza Stars Jana September 06,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 07, 2015

SOKA WILAYA YA NGARA#2015:-Tazama Uzinduzi wa Klabu ya Nzaza Stars Jana September 06,2015.

Msafara wa Mashabiki wa soka toka Mjini Kabanga wakiwa katika Barabara ya Kabanga / Kobero,wakielekea  uwanjani wakati wa Uzinduzi wa timu ya Nzaza Stars ilipocheza pia mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati yao Nzaza Stars dhidi ya One Stars ya Muyinga nchini Burundi jana September 06,2015 ambapo wenyeji walishinda kwa bao 1 - 0.



Mashabiki wa soka toka Mjini Kabanga wakiwa katika uwanja uliofanyiwa maboresho wa Nzaza shule ya Singi kushuhudia mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya wenyeji Nzaza Stars dhidi ya One Stars ya Muyinga nchini Burundi jana September 06,2015 ambapo wenyeji walishinda kwa bao 1 - 0.


Kikosi cha Timu mpya ya Nzaza Stars kikipasha musuli kabla ya mchezo wao  wa kimataifa wa kirafiki kati ya wenyeji Nzaza Stars dhidi ya One Stars ya Muyinga nchini Burundi jana September 06,2015 ambapo wenyeji walishinda kwa bao 1 - 0.



Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.



Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Nzaza Stars na OSC wa kituo cha Polisi Kabanga akifatilia mchezo mara baada ya uzinduzi wa timu  Mjini Kabanga .

Katibu mkuu wa chama cha soka wilaya ya Ngara -NDFA-Bahati Kunzi akifatilia mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya wenyeji Nzaza Stars dhidi ya One Stars ya Muyinga nchini Burundi jana September 06,2015 ambapo wenyeji walishinda kwa bao 1 - 0.
Diwani aliyemaliza muda wake na Mgombea kiti hicho kupitia CCM-Kata ya Kabanga wilaya ya Ngara mkoani Kagera,Soud Said naye alihudhuria Uzinduzi wa huo.

Kikosi cha timu mpya ya Nzaza Stars ambacho hapoa jana September 06,2015 kilicheza  mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya wenyeji Nzaza Stars dhidi ya One Stars ya Muyinga nchini Burundi jana September 06,2015 ambapo wenyeji walishinda kwa bao 1 - 0.

Wageni kutoka Mkoa wa Muyinga nchini Burundi ,timu ya  One Stars katika picha ya pamoja kwenye uwanja Nzaza shule ya Msingi.












Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad