EPL 2015/2016:-Taswira Mpya ya Msimamo wa Ligi kuu nchini Uingereza Baada ya mechi za Raundi ya Sita Jana September 20,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 21, 2015

EPL 2015/2016:-Taswira Mpya ya Msimamo wa Ligi kuu nchini Uingereza Baada ya mechi za Raundi ya Sita Jana September 20,2015.

Michezo ya raundi ya sita ya ligi kuu nchini Uingereza ,msimu huu 2015/2016 maarufu kama EPL imemalizika jana Jumapili (jana) September 20,2015 ambapo ilipigwa michezo mitatu.

Manchester United wakiwa ugenini wakaibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Southampton, Tottenham wakapata ushindi wa nyumbani wa bao 1 - 0 mbele ya Crystal Palace wakati Manchester City wakapata kipondo cha kwanza cha goli 2-1 kutoka kwa West Ham United wakiwa kwenye uwanja wao wa Etihad.

Baada ya michezo hiyo kumalizika, msimamo wa ligi hiyo unaonekana hivi ….



LIGI KUU UINGEREZA 2015/2016 - RATIBA 

**Saa za Bongo

Jumamosi Septemba 26,2015.

1445 Tottenham v Man City
  
1700 Leicester v Arsenal  
               
1700 Liverpool v Aston Villa    
       
1700 Man United v Sunderland   
    
1700 Southampton v Swansea  
               
1700 Stoke v Bournemouth     
       
1700 West Ham v Norwich  
            
1930 Newcastle v Chelsea  
   
Jumapili Septemba 27,2015.

1800 Watford v Crystal Palace  
               
Jumatatu Septemba 28,2015.

2200 West Brom v Everton   



Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad