UBORA WA MAFANIKIO:- Taswira Picha Idara ya Mahakama Nchini yampa Tuzo Rais Kikwete kwa makubwa aliyofanya katika miaka 10. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Thursday, August 06, 2015

UBORA WA MAFANIKIO:- Taswira Picha Idara ya Mahakama Nchini yampa Tuzo Rais Kikwete kwa makubwa aliyofanya katika miaka 10.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.... PICHA ZOTE NA IKULU.
 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha  tuzo maalumu aliyoipokea kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
  wakimsikiliza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
  Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu wakimsikiliza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
  Sehemu ya wastaafu na viongozi wa taasisi wakimsikiliza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
MC wa shughuli  katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
 Meza Kuu katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
Rais Kikwete akisalimiana na watumishi wa Mahakama jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
 Rais Kikwete akisalimiana na Majaji wa  Mahakama Kuu  jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
  Rais Kikwete katika picha ya pamoja Majaji wa  Mahakama Kuu  ya Rufani jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
 Rais Kikwete katika picha ya Mwanasheria Mkuu, Mtendaji Mkuu wa Mahahama, Rais wa Tanganyika Law Society jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
 
PICHA ZOTE NA IKULU.....Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad