Google kubadili jina lake na
kuwa Alphabet, ikiwa ni pamoja na kuijenga upya. Kampuni hiyo itaendelea kufanya kazi kama Google katika sehemu muhimu, ikiwemo injini ya kutafuta taarifa ambayo iliifanya kuwa moja ya kampuni kubwa duniani. Lakini itaendesha kazi zake kwa jina la “Alphabet”, ilitangazwa baada ya soko la hisa kufungwa. Alphabet haitohusisha tu Google bali mgawanyo mkubwa wa shughuli zake. Hiyo itahusisha shughuli zake za kisayansi.
PAPO KWA PAPO Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp
+255789925630.
|
Friday, August 14, 2015
TEKNOLOJIA YETU:-Google yabadilishwa jina lake.
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment