MAKOSA YA KISHERIA:-Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 26, 2015

MAKOSA YA KISHERIA:-Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar es Salaam.

Picha na Maktaba yetu.

Kwa ufupi

Mkoa wa Dar es Salaam una magari 850,000.

Januari hadi Juni, 2014 kulikuwa na makosa 171,289 ya usalama barabarani katika Mkoa wa Dar es Salaam wakati katika kipindi kama hicho mwaka huu 2015 kumekuwa na makosa 140,087.

Wiki ya usalama barabarani kanda ya Dar es Salaam inaanza Agosti 24 hadi 28,2015.KUJUA HABARI HII BOFYA HAPA ZAIDI.


PAPO KWA PAPO Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad