AFYA YA AKILI:-Zifahamu tabia 10 zinazoweza kuharibu ubongo wako. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 04, 2015

AFYA YA AKILI:-Zifahamu tabia 10 zinazoweza kuharibu ubongo wako.

Kati ya tabia ambazo unatakiwa kuacha ili kuwa makini na afya njema kiakili ni hizi hapa:-

  • Kutopata kifungua kinywa
  • Kula kupita kiasi
  • Kuvuta sigara
  • Kula sukari nyingi
  • Kukaa sehemu yenye hewa chafu
  • Kutolala vizuri
  • Kuziba pua wakati wa kulala (Kutopata hewa safi)
  • Kufanya kazi wakati unaumwa (Ukiwa mdhoofu na magonjwa)
  • Kutokuwa na fikra chanya
  • Kutoongea kwa muda mrefu
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad