![]() |
|
"Leo hii Agosti 03,2015, majira ya saa 11:30hrs
majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia
mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako nilikuwa
nikifanya mkutano na mara tulipokea simu toka kwa waendesha bodaboda wakiripoti
tukio hilo na bila kichelewa tuliwahi kwenda kupambana na majambazi hao (Live)
na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano Polisi
tuliibuka washindi baada kwa kushirikiana na wananchi na bundiki zao mbaroni. Kweli Polisi Jamii inasaidia ikieleweka vizuri." Anaripoti Askari mmoja..Picha kwa hisani ya .RSA |
![]() |









No comments:
Post a Comment