VIDEO / MBIO ZA URAIS TANZANIA 2015:-Lowassa alivyochukua fomu ya Urais CHADEMA July 30,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 31, 2015

VIDEO / MBIO ZA URAIS TANZANIA 2015:-Lowassa alivyochukua fomu ya Urais CHADEMA July 30,2015.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akionyesha Fomu kwa wanaCHADEMA waliofurika kwa wingi kwenye Makao Makuu ya CHADEMA Jana July 30,2015. Wengine pichani toka kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, Mama Regina Lowassa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim.




Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad