TASWIRA PICHA:-Gari tatu katika ajali moja...hakuna mtu kapoteza maisha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 30, 2015

TASWIRA PICHA:-Gari tatu katika ajali moja...hakuna mtu kapoteza maisha.

Hii ni  Ajali  ambayo imetokea eneo la Njiapanda ya Kunduchi Jijini Dar es Salaam leo July 30, 2015 majira ya Asubuhi na kuhusisha Magari matatu katika ajali moja...hakuna mtu kapoteza maisha....Chanzo cha ajali kinachunguzwa.



Taarifa kutoka eneo la tukio zilieleza kuwa baadhi ya Raia wenye hasira walitaka kumshambulia Askali  wa Usalama barabarani kwa kutaka ondoka eneo la tukio bila kupima...ndipo  Askari Polisi walipoingilia kati ili kuwatawanya raia hao....

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad