UP DATE AJALI YA TRENI YA DELUXE:-Taswira Picha 3 ya mabehewa manne yakiacha Njia lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 30, 2015

UP DATE AJALI YA TRENI YA DELUXE:-Taswira Picha 3 ya mabehewa manne yakiacha Njia lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.

Hii post ni maalum kwa ajili ya kuujua ukweli baada ya ajali ya Treni iliyotokea kwenye tarafa ya Kikombo Dodoma ambapo mabehewa manne ya Treni hii ya abiria kutoka bara kwenda Dar es salaam yaliacha njia.

Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi,jana July 29, 2015 mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.





Amesema chanzo cha ajali hakijafahamika ila ajali imetokea wakati treni ikiwa kwenye mwendo katika stesheni ya Kikombo kuelekea kusimama, injini na Mabehewa hayo yakiwa kwenye mwendo yalihama njia ambapo July 29 2015 zilifanyika jitihada za kufaulisha abiria katika mabehewa mengine pamoja na kuunga injini nyingine ili safari.
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad