PICHA / AJALI:-Treni ya Deluxe iliyokuwa inatoka kigoma kuja Dar imepata ajali. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 29, 2015

PICHA / AJALI:-Treni ya Deluxe iliyokuwa inatoka kigoma kuja Dar imepata ajali.

Treni ya abiria ya Deluxe iliyokuwa safarini kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam imepata ajali Majira ya jioni leo July 29,2015 katika stesheni ya Kikombo mara baada ya mabehewa kuacha njia taarifa zinasema hakuna aliyepoteza maisha

Taarifa zaidi tutawajuza kadri tunavyozipata.
 Picha kwa hisani ya Josephat Lukaza.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad