NGOMA AFRICA BAND:-Hii ndio Taswira Picha walivyofunika INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TÜBINGEN 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 29, 2015

NGOMA AFRICA BAND:-Hii ndio Taswira Picha walivyofunika INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TÜBINGEN 2015.

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maaruka kama FFU-Ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's inayoongozwa na kamanda Ras Makunja,bendi hiyo yenye makao yake kule ujuerumani ,Juzi July 26,2015 iliuhakikishia ulimwengu tena kuwa mziki wao ni moto wa kuotea mbali! bendi hiyo ilifanikiwa kwa mara nyingine kuyafunika maonyesho ya kimataifa ya International African Festival-Tübingen 2015,yaliofanyika katika viwanja vya Fest Platz,jijini Tübingen,Ujerumani.

Bendi hiyo ilipanda jukwaani majira ya saa 4.00 usiku huku uwanja huo ukiwa umezungukwa na ulinzi mkali ! kamanda Ras Makunja akikiongoza jukwaani kikosi chake kilichoshamili vijana wa kazi akina Afande Mo Benda (Soloist) Sajent JoJo Sousa(Drumer) Kopro. 

Aj Nbongo (Bass) kijana Liga (Rhthym guitar) madansa Jessica Ouyah na Sarah Fina kikosi hiko kilifanya show la kukata na shoka siku ya jumamosi 26 Julai 2015.

wapitie at www.facebook.com/ngomaafricaband wasikilize at 

www.reverbnation.com/ngomaafricaband



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad