MBIO ZA URAISI - JULY.28.2015 | AZAM TV-Lowassa akijibu kuhusu RICHMOND baada ya Kujiunga na UKAWA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 28, 2015

MBIO ZA URAISI - JULY.28.2015 | AZAM TV-Lowassa akijibu kuhusu RICHMOND baada ya Kujiunga na UKAWA.

Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam Leo July 28,2015.
Mh.Edward Lowassa akiwa katika hadhara ya mamia kujibu maswali katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam…HAPA CHINI KUNA VIDEO -BONYEZA KITUFE KUSIKILIZA MAONGEZI HAYO.

 

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad