GARI LA KUBEBEA MAJENEZA LA KIPEKEE LAINGIA NCHINI :-Litazame katika Taswira Picha Hapa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 31, 2015

GARI LA KUBEBEA MAJENEZA LA KIPEKEE LAINGIA NCHINI :-Litazame katika Taswira Picha Hapa.


IMG_0469
Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.

Kwa wanaohitaji kukodi kwa shughuli za misiba wanaweza kuwasiliana kupitia barua pepe kiwiaadavidson@hotmail.com au simu namba +255 715 213213, +255 713 616606 na +255 784616606 .

IMG_0459
IMG_0481
Muonekano wa ndani sehemu maalum linapowekwa jeneza.
IMG_0477
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad