ARSENAL BAADA YA KUTWAA EMIRATES CUP 2015:-Hii ni dalili kwamba 2015/2016 , Arsenal watakuwa wamekusanya makombe ya kutosha? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, July 27, 2015

ARSENAL BAADA YA KUTWAA EMIRATES CUP 2015:-Hii ni dalili kwamba 2015/2016 , Arsenal watakuwa wamekusanya makombe ya kutosha?

Wakiwa tayari wameshinda kombe la pili la FA mfululizo msimu uliopita, Arsenal jana July 26,2015 wametwaa kombe la pili katika mechi za maandalizi ya msimu mpya wakiichapa     1 -0 Wolfsburg  na kunyanyua kombe la Emirates.

 Mapema mwezi huu, Arsenal walishinda taji la Barclays Asia Trophy nchini Singapore.

Bao pekee la Theo Walcott lilitosha kuipa ushindi Arsenal na sasa wameelekeza nguvu kwenye mechi yao ya ngao ya Hisani dhidi ya Chelsea itayopigwa Wikiendi ijayo dhidi ya Chelsea. 



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad