TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2015 :-Yafahamu Majina ya Washindi wake . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 14, 2015

TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2015 :-Yafahamu Majina ya Washindi wake .

Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa kwa mwaka huu wa 2015  na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.

Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.

Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.........
 
KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)
YA MOTO BAND

KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)
JAHAZI MORDEN TAARAB

 MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)
JOSE MARA

MWIMBAJI BORA WA KIKE ( AARABU)
ISHA MASHAUZI 

WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)
MWANA (Alikiba)

WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
WALE WALE (Fm Academia)
 
MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)
MZEE YUSUPH
 
WIMBO BORA WA RNB
SISIKII (Jux)

MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)
VANESSA MDEE
 
 MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)
ALI KIBA
 
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
VANESSA MDEE
 
MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
ALI KIBA
 
WIMBO BORA WA HIP HOP
KIPI SIJASIKIA (PROF JAY)

WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
LET THEM KNOW (Maua)

RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
FEGASON
 
MSANII BORA WA HIP HOP
JOH MAKINI
 
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
SURA YAKO (Sauti Sol)
 
MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU)
MZEE YUSUPH
 
MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)
JOSE MARA
 
MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)
JOH MAKINI
 
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)
NAH REAL
 
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)
ENRICO
 
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)
AMOROS
 
VIDEO BORA YA MWAKA
MDOGO MDOGO(DIAMOND)
 
WIMBO BORA WA AFRO POP
MWANA(AliKiba)

WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA
NTAMPATA WAPI(Diamond)
 
WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA
WAITE(Mrisho Mpoto)
 
MSANII BORA CHIPUKIZI
BARAKA DA PRINCE
 
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)

BENDI BORA YA MWAKA
FM ACADEMIA

MTUNZI BORA WA MWAKA
ALI KIBA
 
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad