![]() |
|
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua rasmi Chanjo ya watoto kuzuia maambukizi ya magonjwa katika
kata ya Nyakisasa kijiji cha Kashinga akiwa katika ziara yake ya kikazi
wilayani Ngara mkoani Kagera jana June 13,2015,lengo la ziara hiyo likiwani ni kukagua utekelezaji
wa ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo
Kinana anaongozana na ktibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi
mbalimbali wa CCM kutoka mkoa wa Kagera.….PICHA NA MICHUZI JR-NGARA...KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
|
Sunday, June 14, 2015
Home
SIASA
PICHA ZIARA YA KINANA NGARA/KAGERA:- Awahutubia wananchi wa Ngara mjini pamoja na kuitaka Serikali kurahisisha utoaji wa leseni kwa wafanyabiashara , madereva wa magari na bodaboda.
PICHA ZIARA YA KINANA NGARA/KAGERA:- Awahutubia wananchi wa Ngara mjini pamoja na kuitaka Serikali kurahisisha utoaji wa leseni kwa wafanyabiashara , madereva wa magari na bodaboda.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.

No comments:
Post a Comment