Shabani Kado
akipokea tuzo yake.
Tuzo ya
kocha bora imekwenda kwa Mbwana Makata aliyekinusuru kikosi cha Tanzania
Prisons kisishuke daraja.
Nafasi hiyo ilikuwa ikiwaniwa na Goran Kopunovic
(Simba SC) pamoja na Hans Van Der Pluijm (Young Africans).
Israel Mjuni
Nkongo amenyakua tuzo ya mwamuzi bora akiwabwaga Jonesia Rukyaa na Samwel
Mpenzu kwenye nafasi hiyo.
Mtibwa Sugar
nao wamechukua tuzo ya timu yenye nidhamu iliyokuwa ikiwaniwa na Mgambo JKT
pamoja na Wekundu wa Msimbazi Simba SC.
|
Friday, June 12, 2015
Home
MICHEZO
TUZO LA LIGI KUU TANZANIA BARA 2014/2015:-Msuva anyakua mbili ya mchezaji na mfungaji bora.
TUZO LA LIGI KUU TANZANIA BARA 2014/2015:-Msuva anyakua mbili ya mchezaji na mfungaji bora.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment