KUOMBA RIDHAA URAIS CCM:- Picha 5 za Lowasa akiwa Kigoma leo June 13, 2015 na kupata Wadhamini 11,250. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 13, 2015

KUOMBA RIDHAA URAIS CCM:- Picha 5 za Lowasa akiwa Kigoma leo June 13, 2015 na kupata Wadhamini 11,250.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiusalimia umati wa wanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma, kusaka wadhamini wa kumsainia fomu za kupata ridhaa za Chama kuwania Urais wa Tanzania. Mh. Lowassa amedhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma, leo Juni 13, 2015.


Katibu wa CCM Wilaya ya Kigoma Mjini, Noverty Kibaji (kushoto) akimkabidhi, Mh. Edward Lowassa, majina ya wanaCCM wa Kigoma Mjini waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Wananchi wa Mji wa Kigoma wakiwa wamejipanga kando ya Barabara kuu ya Kutoka Ujiji, kumpokea Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad