"KAPOTIVE LIVE SHOW" :-Taswira Picha 7 jinsi Uzinduzi wa Kapotive Star Singers ulivyotia funika City Life June 28, 2015 Mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, June 30, 2015

"KAPOTIVE LIVE SHOW" :-Taswira Picha 7 jinsi Uzinduzi wa Kapotive Star Singers ulivyotia funika City Life June 28, 2015 Mjini Ngara.

Kiongozi wa Kikundi cha Kapotive Star Singers-Bukoba Bw. Andrew Kagya akiteta jambo na Wakazi wa Mji wa Ngara na Vitongoji vyake waliopata nafasi ya kuhudhuria Tamasha la Uzinduzi huo wa Albam ya "Kapotive Live Show" kwenye Ukumbi wa City Life uliopo Ngara Mjini  Jumapili Juni 28, 2015.

Tayari kwa Uzinduzi huo kwenye Ukumbi wa City Life Ngara.
Baadhi ya Waimbaji wa Kapotive Star Singers-Bukoba wakishambulia jukwaa mbele ya Mashabiki wao.
Viongozi mbalimbali wakifatilia uzinduzi huo na hapa sehemu ya Mgeni rasmi…..(katikati) Ni Mkuu wa Wilaya ya Ngara Bw.Costantine Kanyasu, (Kulia) Baba Paroko Sixmund na Kushoto Baba Paroko msaidizi Ngara mjini.Picha zote kwa Hisani ya BUKOBA SPORT.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad