BREAKING NEWS:-22 Wafariki Papo Hapo baada ya Basi na Lori kugongana ,Mafinga . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 14, 2015

BREAKING NEWS:-22 Wafariki Papo Hapo baada ya Basi na Lori kugongana ,Mafinga .


News updates tunasikia kuna ajali mbaya huko Mafinga. Ni gari ya Kampuni ya Another G ifanyayo safari zake Njombe na Iringa imegongana Lori  Semi Trailler waliofariki mpaka sasa ni 22 ,wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.

Hiyo ni kwa ufupi tutaendelea kuwajuza.... Taarifa zaidi zinasema Madereva wa semitrailler na bus ni miongoni mwa waliofariki,pia tatizo ni overtaking ya magari zaidi ya moja semitrailler ilikuwa imepakia shaba toka Zambia.


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad