RIPOTI:-Yaitaja Tanzania kuwa kinara wa Ufisadi,Rushwa na Matumizi mabaya ya Fedha Barani Africa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 10, 2015

RIPOTI:-Yaitaja Tanzania kuwa kinara wa Ufisadi,Rushwa na Matumizi mabaya ya Fedha Barani Africa.

Taarifa iliyotolewa na shirika la kimataifa la Transparency International inaonesha kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza barani Afrika kwa matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za umma. Katika taarifa hiyo Tanzania inaongoza ikifuatiwa na Sudan na Sudan Kusini.

Katika nchi za Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi tu ndio zimeingia kwenye nchi kumi zinazoongoza kwa Ufisadi, huku nchi ya Rwanda ikionekana kung'ara kwa kuingia Nchi 10 za mwisho kwa ufisadi kwa kushika nafasi ya 44.

Nchi zinazoongoza kwa Ufisadi, Matumizi mabaya ya fedha za Umma, Rushwa na Ubadhirifu wa fedha barani Afrika kwa mwaka 2014 ni kama ifuatavyo;

1: Tanzania

2: Sudan

3: South Sudan

4: Libya

5: Eritrea

6: Guinea-Bissau

7: Angola

8: Burundi

9: Zimbabwe

10: DRC

11: Chad

12: jamhuri ya Congo

13: Jamhuri ya Afrika ya kati

14: Kenya

15: Uganda

16: Comoros

17: Nigeria

18: Cameroon

19: Madagascar

20: Togo

21: Gambia

22: Mauritania

23: somalia

24: Mozambique/ Msumbiji

25: Mali

26: Malawi

27: Ethiopia

28: Djibout

29: Niger

30: Algeria

31: Liberia

32: Gabon

33: Misri

34: Zambia

35: Burkina Faso

36: Morroco

37: Benin

38: Tunisia

39: Sao Tome and Principe

40: Swaziland

41: Senegal

42: South Africa

43: Ghana

44: Rwanda

45: Namibia

46: Lesotho

47: shelisheli

48: Capeverde

49: Botswana.



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad