AJALI / PICHA:-Taswira Lori lenye Kontena Lagongana na Fuso na Kutumbukia Mto Wami Jana May 10, 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 11, 2015

AJALI / PICHA:-Taswira Lori lenye Kontena Lagongana na Fuso na Kutumbukia Mto Wami Jana May 10, 2015.

Ajari ya malori mawili yamegongana kwenye daraja la mto wami na kutumbukia mtoni! 

Kwa mujibu wa Kamanda Mohammed Mpinga "...tukio la ajali lilitokea asubuhi ya Jana May 10, 2015 eneo la mto Wami likihusisha magari 4. 

Chanzo cha ajali hiyo ni  roli lenye kontena ku-fail brake kisha kuparaza Coaster na roli ikipishana nazo kabla ya Wami darajani kuelekea Chalinze na kwenda kugonga kwa nyuma fuso iliyokuwa mbele yake na zote kwenda kutumbukia mtoni."
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad