HARAKATI:-Tazama Picha yetu ya siku......'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, May 01, 2015

HARAKATI:-Tazama Picha yetu ya siku......''

Pichani ni Bw Issa Samma ambaye ni mjumbe wa  NEC Halimashauri kuu ya taifa  CCM kutoka wilaya ya Ngara mkoani Kagera akiwa katika moja ya mikutano yake ya Hadhara akihamasisha Wananchi kuisoma na kuielewa katiba inayopendekezwa,kujitokeza kujiandikisha katika daftari la wapiga kura pamoja na kujitokeza katika uchaguzi mkuu ujao ili kuchagua Kiongozi bora wa kuwaletea maendeleo.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad