EPL 2014/2015:-Taswira Picha ya mechi ya Chelsea v Liverpool Jana May 10, 2015 pamoja na Ratiba ya gemu zijazo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 11, 2015

EPL 2014/2015:-Taswira Picha ya mechi ya Chelsea v Liverpool Jana May 10, 2015 pamoja na Ratiba ya gemu zijazo.

Liverpool hapo jana May 10, 2015  waliwapigia Saluti Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza 2014/2015 Chelsea kabla ya Mechi yao ,kwenye Uwanjani Stamford Bridge kuanza na ambayo ilimalizika kwa Sare ya 1-1 ambayo imefuta matumaini ya Liverpool kucheza UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao 2015/2016 kwani wao sasa kuipiku Manchester United ni majaliwa makubwa.


Kwa matokeo hayo, Liverpool wamebaki Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 6 nyuma ya Manchester United huku Mechi zimebaki 2 na wao wana tofauti duni sana ya Magoli ukilinganisha na Man United.

Hali hii inaifanya Liverpool kuwa na hakika ya kucheza EUROPA LIGI Msimu ujao.

Katika Mechi hiyo ya Jana jumapili, Bao zote zilifungwa na Manahodha wa Timu zao, tena zote kwa kichwa, baada ya John Terry kuipa Chelsea Bao Dakika ya 5 na Steven Gerrard kusawazisha Dakika ya 44.

LIGI KUU UINGEREZA 2014/2015 RATIBA.

Jumatatu Mei 11,2015.

2200 Arsenal v Swansea

Jumamosi Mei 16,2015.

1445 Southampton v Aston Villa

1700 Burnley v Stoke

1700 QPR v Newcastle

1700 Sunderland v Leicester

1700 Tottenham v Hull

1700 West Ham v Everton

1930 Liverpool v Crystal Palace

Jumapili Mei 17,2015.

1530 Swansea v Man City

1800 Man United v Arsenal

Jumatatu Mei 18,2015.

2200 West Brom v Chelsea

Jumatano Mei 20,2015.

2145 Arsenal v Sunderland


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad