EPL 2014/2015:-Tazama Picha wakati Manchester City Waiporomosha Daraja Queens Park Rangers. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 11, 2015

EPL 2014/2015:-Tazama Picha wakati Manchester City Waiporomosha Daraja Queens Park Rangers.

Baada ya Jumamosi May 09, 2015  Burnley kuwa Timu ya kwanza kuporomoka Daraja kutoka Ligi Kuu Uingereza Msimu huu, jana May 10, 2015  huko Etihad, Manchester City ambao wamevuliwa Ubingwa na Chelsea Wiki iliyopita wameibamiza Queens Park Rangers 6-0 na kuishusha Daraja huku wakibakiza Mechi 2 ili Ligi kuu Kufunga pazia lake.

 Usnindi huu pia umewafanya Manchester City wajizatiti Nafasi ya Pili na kujihakikishia kucheza UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao 2015/2016.

Shujaa wa Mechi ya Leo ni Straika wa City anaetoka Argentina, Sergio Aguero, aliepiga Bao 3 na kuzidi kuongoza kwa Ufungaji Bora wa Ligi Kuu England akiwa na Bao 25.





Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad