|
Takwimu za upandaji na utunzaji wa miti katika mkoa wa Kagera
kwa miaka minne mfululizo; mwaka 2011/2012 lengo la kupanda
lilikuwa miti 12,500,000 Miti iliyopandwa ni 13,100,875 sawa na asilimia 105,
Miti iliyopona ni 11,220,328 sawa na asilimia 89.7. Mwaka 2012/2013 lengo la kupanda lilikuwa miti 12,500,000 Miti
iliyopandwa ni 12,755,042 sawa na asilimia 102, Miti iliyopona ni 11,081,519
sawa na asilimia 88.
Aidha mwaka 2013/2014 lengo la kupanda lilikuwa miti
13,000,000 Miti iliyopandwa ni 13,767,022 sawa na asilimia 85, Miti iliyopona
ni 11,248,933 sawa na asilimia 88.4. Na mwaka
2014/2015 lengo la kupanda lilikuwa miti 13,000,000 Miti iliyopandwa ni
12,278,125 sawa na asilimia 98.4, Miti iliyopona ni 11,153,627 sawa na asilimia
90.8.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila tukio/stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Friday, April 03, 2015
Home
MATUKIO
MKOA WA KAGERA:- Waadhimisha Siku ya Kupanda Miti Kitaifa wilayani Missenyi’’MISITU NI MALI PANDA MITI'
MKOA WA KAGERA:- Waadhimisha Siku ya Kupanda Miti Kitaifa wilayani Missenyi’’MISITU NI MALI PANDA MITI'
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.





No comments:
Post a Comment