KARUME DAY:- Viongozi wasifu staili ya Karume - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 08, 2015

KARUME DAY:- Viongozi wasifu staili ya Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar Jana April 07,2015, asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar, Shehe Saleh Omar Kabi (kulia) baada ya kisomo cha hitma, iliyosomwa jana katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui mjini Unguja. (Picha na Ikulu). 

April 07 ya kila Mwaka  ni siku ya kumkumbuka mwasisi wa Taifa la Zanzibar na Mapinduzi matukufu yaliyorejesha heshima na utu wa Mwafrika, Shehe Abeid Amaan Karume.

Karume aliuawa Zanzibar na wapinga mapinduzi Aprili 7, 1972 ikiwa ni miaka 43 sasa tangu kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha. Wakati huo kiongozi huyo alikuwa ni Rais wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.BOFYA HAPA ZAIDI KUSOMA

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad