CHEKI LISTI HII:-Ni ya Ronaldo Kuifunga timu yako Uipendayo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 09, 2015

CHEKI LISTI HII:-Ni ya Ronaldo Kuifunga timu yako Uipendayo.

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madridya Hispania, Cristiano Ronaldo amekuwa akitawala ‘headlines’ za vyombo vya habari ulimwenguni kutokana na kuimarika kwa kiwango chake katika siku za hivi karibuni.

Wikiendi iliyopita Ronaldo aliweka rekodi ya kufunga magoli 5 bila kuhusisha mkwaju wa penati katika mechi dhidi ya Granada, na jana April 08,2015, Ronaldo aliipa tena Real Madrid kwa kufunga goli muhimu dhidi ya Rayo Vallecano – hivyo akawa ametimiza idadi ya magoli 300 akiwa na Real Madrid – hii ni rekodi nyingine katika faili lake, kwa kuwa ndio mchezaji aliyefikisha idadi hiyo kwa haraka zaidi, ndani ya mechi 288 tu.

Cristiano Ronaldo amekuwa mwiba mchungu kwa karibia kila timu pinzani amewahi kucheza dhidi yake, na leo nakuletea listi ya timu na idadi ya magoli ambayo amewahi kuzifunga timu pinzani katika ligi ya Hispania ,Uingereza, UEFA CUP, na Champions League.

MagoliKlabu

18    –     Sevilla
15     –      Atletico Madrid, Barcelona, Getafe
14     –      Atletico Bilbao
13     –        Malaga
12      –       Celta Vigo, Levante
11      –       Villarreal, Granada
10     –     Osasuna
9       –    Aston Villa, Valencia, Rayo Vallecano, Real Sociedad, Deportivo
      –    Tottenham
      –     Schalke, Ajax, Zaragoza, Mallorca, Elche, Almeria, Fulham, Wigan
     –    Racing Santander, Galatasaray, Arsenal, Bolton, Newcastle, Portsmouth
5      –    Everton, Manchester City, West Ham, Middlesbrough
4     –    Bayern Munich, Marseille, Lyon, Xerez, Espanyol, Derby, West Brom, Reading
3     –    FC Copenhagen, Borussia Dortmund, Roma, Juventus, CSKA Moscow, Real Betis,        Valldolid, Dinamo Moscow, Liverpool, Blackburn
    –   Ludogorets, AC Milan, Sporting Lisbon, Basle, Zurich, Eibar, Gijon, Hercules, APOEL, Southampton, Birmingham, Stoke, Hull, Manchester United, Watford
     –   Auxerre, Inter, Gamba Osaka, Porto, Murcia, Tenerife, Cordoba, Ponferradina, Debreceni, Sunderland, Charlton, Chelsea, Millwall, Exeter

Source:-Millardayo.


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad