BRING BACK OUR GIRLS:- Leo April 14,2015 ni mwaka mmoja tangu wasichana 200 watekwe Nigeria,Tazama Picha 11 za kilichoendelea Abuja. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 14, 2015

BRING BACK OUR GIRLS:- Leo April 14,2015 ni mwaka mmoja tangu wasichana 200 watekwe Nigeria,Tazama Picha 11 za kilichoendelea Abuja.

Hii leo Jumanne April 14, 2015 kumefanyika kampeni mbalimbali duniani kote kupinga tukio la wasichana wanoaminiwa kutekwa na kundi la kigaidi la Boko haramu la nchini Nigeria, wasichana ambao walitekwa wakiwa shuleni.

  Aidha  watu mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni mwaka mmoja tangu wasichana  247 wa shule  moja Chibok watekwe na  kundi la Boko Haram huku wakiwa na mabango yenye ujumbe uliosomeka.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema ingawa hawezi kuthibitisha kama wasichana hao wataweza kuokolewa lakini Serikali itafanya kila njia kuhakikisha wasichana hao wanapatikana.

Hapa nina hizi PICHA ambazo zinaonesha maandamano hayo leo NIGERIA.









Source:-Millardayo.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad