MAFANIKIO:-Manchester United yawa kinara kwenye ubora wa vilabu nchini Uingereza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 27, 2015

MAFANIKIO:-Manchester United yawa kinara kwenye ubora wa vilabu nchini Uingereza.

Gazeti la The Daily Mail leo March 27,2015, limetoa ripoti ya vilabu bora 50 vya soka nchini Uingereza.

Gazeti hilo limetoa vigezo 6 vilivyopelekea kutengeneza orodha hiyo.

Miongoni mwa vigezo hivyo ni takwimu ya idadi ya mashabiki wanaoingia kwa juma kwenye viwanja vya timu hizo,kigezo kingine ni namna gani vilabu hivyo vimekusanya mashabiki duniani kote ikiwa ni pamoja na idadi ya mataji kwa maana ya vikombe vilivyotwaliwa na klabu husika.

Kigezo kingine ni wastani wa nafasi katika msimamo wa ligi
Kigezo kingine kilichochangia kwenye orodha hiyo ni thamani ya wachezaji waliopo kwenye vilabu hivyo.

Ili kutambua jinsi gani klabu husika ilivyo maarufu ulimwenguni waliangalia idadi ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook na Twitter wakati wastani wa matawi ulitokana na idadi ya mataji yaliyotwaliwa na vilabu husika kuanzia msimu wa 1888-1889.

HII NDIO ORODHA KAMILI YA VILABU 50 BORA NCHINI UINGEREZA.

 Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad