![]() |
|
“Sakata
la Escrow… maazimio haya yatekelezwe, la kwanza lilianza na wale wakubwa
ingawa wote ni wachafu, huwezi kusema unashughulika na vidagaa na kuacha wale
mapapa na manyangumi… Ujanja ujanja uliofanyika kodi haikulipwa, zile dola
milioni 75 kodi yake iko wapi? Hatujaona mtu akikamatwa.. waliolisimamia hili
walitakiwa wawe wameshakamatwa, huwezi kumkatama anayedaiwa dola
25,000… huko ni kukosekana uadilifu”
Kuhusiana na
Kura ya maoni kwa Katiba iliyopendekezwa;- “Kura ya maoni kwa mawazo yangu
haiwezekani, leo hii hatuna daftari la wapiga kura na kama kuna tatizo
litakaloikumba Tanzania na tukayumba kwelikweli tusipowekeza akili zetu zote
tukawa na utulivu wa dhati zetu, ni daftari hilo…“
Daftari
la mwaka jana NEC
imesema daftari lile ni chafu… mfumo utakaotumika ni wa kielektroniki,
kutumia mfumo wa kisasa, mfumo huo haujafanikiwa nchi za Afrika, Ghana,
Msumbiji, Namibia, Afrika kusini”
Maoni yake
kuhusu uandikishwaji wa daftari la wapigakura;- “Tume ukiwauliza wamepewa
fedha kiasi gani kwa sasa ni aibu kusema hadharani, wangeweza kutumia wanajeshi
lakini kwanini uwaambie Watanzania wanataka kutumia wanajeshi?
Wanaweza kuvaa
nguo za kiraia na kufanya kazi hiyo? Hapa kuna walakini fulani, maandalizi ya
kifedha ni shida, rasilimali watu kuiwezesha tume nayo ni shida, vifaa
havijafika kwa sababu Serikali haijalipia fedha hizo ili viletwe…“
Faida ya
kwetu kujiondoa kwenye mchakato huu ni faida kubwa zaidi kwa sababu
tunalipenda taiifa la Tanzania liwe la amani na utulivu…“– James Mbatia.BOFYA HAPA KUSIKILIZA MAHOJIANO ZAIDI.
Chanzo:-Millardayo.
|
Wednesday, February 04, 2015
Home
SIASA
WAJUA..???:-Kama ulipitwa na hii ya Mbunge James Mbatia jana kwenye dakika 45 isikilize hapa…
WAJUA..???:-Kama ulipitwa na hii ya Mbunge James Mbatia jana kwenye dakika 45 isikilize hapa…
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment