PICHA YETU LEO:-Ni Taswira ya MNEC,Bw. Issa Samma na Miaka 38 ya CCM- Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 10, 2015

PICHA YETU LEO:-Ni Taswira ya MNEC,Bw. Issa Samma na Miaka 38 ya CCM- Ngara mkoani Kagera.

MNEC wilaya ya Ngara mkoani Kagera , Bw.Issa Samma akihutubia Wananchi mjini Ngara hivi karibuni katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM , ambacho kilizaliwa Februari 05, 1977.


UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad