MCHEZO GANI HUO :-Tazama kazidiwa Mpaka kumvua Bukta Mpinzani wake Uwanjani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 14, 2015

MCHEZO GANI HUO :-Tazama kazidiwa Mpaka kumvua Bukta Mpinzani wake Uwanjani.

Mashabiki waliojitokeza kutazama mechi kati ya NRL All Stars dhidi ya Indigenous All Stars walishuhudia mambo zaidi ambayo hawakuyarajia wakati wanalipa fedha kuingia uwanjani.

Hiyo ni baada ya centre wa Indigenous, Greg Inglis kuvuliwa Nguo yake wakati anapambana na mchezaji wa timu pinzani.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa amevalia bukta yake na kuoneshwa nguo yake ya ndani  ya 'budgy smuggler' ikiwa na bendera ya Koori ya Australia.
Greg Inglis akivuliwa  bukta yake  wakati akiangushwa chini na mchezaji wa timu pinzani …Nguo hiyo ya ndani  ina thamani ya dola 50 za Australia, sawa na Pauni 25 za Uingereza na ni hivi karibuni tu imezinduliwa.BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO


UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad