LIGI KUU BARA 2014/2015:- Yaendelea kuwa ngumu kwa karibu kila timu na Haya ndio Matokeo ya mechi za Leo Februari 07,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 07, 2015

LIGI KUU BARA 2014/2015:- Yaendelea kuwa ngumu kwa karibu kila timu na Haya ndio Matokeo ya mechi za Leo Februari 07,2015.


Kiungo wa Simba SC, Abdi Banda akipasua katikati ya wachezaji wa Coastal Union, Abdulhalim Humud kushoto na Godfrey Wambura kulia.

 Timu ya Wagosi wa Kaya Coastal Union wamegoma kufungwa mechi ya pili mfululizo nyumbani, baada ya jioni ya leo Februari 07,2015 kulazimisha sare ya 0 -0 na Simba SC Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Hakukuwa na mchezo wa kuvutia sana kutokana na timu zote kucheza mipira mirefu kwa kuhofia ubovu wa Uwanja wa Mkwakwani, lakini hakukuwa na kupamiana kama ilivyokuwa Jumatano Coastal ikifungwa 1-0 na Yanga SC.

Kwa matokeo hayo, Coastal inafikisha pointi 18, wakati Simba SC inatimiza pointi 17.


Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado akidaka mpira mbele ya beki wake, Tumba Swedi ambaye yuko mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma.

Ruvu JKT 1-1 Mbeya City

Bao la JKT limefungwa na Ally Bilal katika kipindi cha kwanza wakati la Mbeya City limefungwa na Kenny Ally aliyesawazisha katika kipindi cha pili.

Polisi Moro 2- 2 Azam FC

Mabao ya Azam FC yamefungwa na pacha Kipre Tchetche katika dakika ya 10 na Kipre Bolou.
 

Ndanda FC 1-1 Stand United


Bao la wenyeji limefungwa na Nassor Kapama katika dakika ya 57 kabla ya wageni nao kukomaa na kusawazisha bao hilo.  

RATIBA VPL 2014/2015.

Jumapili Februari 8,2015.

Yanga SC v Mtibwa Sugar

MSIMAMO:

**Bila Matokeo ya Mechi za Leo Ndanda FC v Stand United na Kagera Sugar v Mgambo JKT.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
12
6
4
2
17
10
 
7
22
2
Yanga
12
6
4
2
13
7
 
6
22
3
Polisi Moro
14
4
7
3
12
11
 
1
19
4
JKT Ruvu
14
5
4
5
14
14
 
0
19
5
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11
 
-1
19
6
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
7
Coastal Union
14
4
6
4
10
9
 
1
18
8
Simba
13
3
8
2
13
11
 
2
17
9
Mbeya City
13
4
4
5
9
11
 
-2
16
10
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
 
-5
14
13
Tanzania Prisons
13
1
8
4
10
12
 
-2
11
14
Stand United
13
2
5
6
8
16
 
-8
11
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad