EPL 2014/2015:-Picha Arsenal 5-0 Aston Villa ni Bao za Mesut Ozil, Olivier Giroud, Theo Walcott, Santi Cazorla na Hector Bellerin. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 01, 2015

EPL 2014/2015:-Picha Arsenal 5-0 Aston Villa ni Bao za Mesut Ozil, Olivier Giroud, Theo Walcott, Santi Cazorla na Hector Bellerin.

Pichani Wakiwa uwanja wa nyumbani wa  Emirates, Arsenal hii Leo Februari 01,2015 wameibuka na ushindi mpana wa bao 5 – 0 na kujichimbia Nafasi ya 5  kwenye msimamo wa ya Ligi Kuu UIngereza baada ya kuisulubu  Aston Villa .


Arsenal walifunga Bao lao la kwanza katika Dakika ya 8 kupitia Olivier Giroud na Bao hilo lilidumu hadi Mapumziko huku wakiongeza bao nyingine 4 kupitia Mesut Ozil, Theo Walcott, Santi Cazorla, kwa Penati, na Héctor Bellerín.


Ushindi huu umewafanya Arsenal wawe Pointi sawa na Timu ya 4 Southampton ambao wana ubora wa Magoli na wanacheza Mechi yao ya mkononi baadae Leo hii na Swansea City.





UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad