VPL 2014/2015:-Yanga SC yashindwa kuiengua kileleni Azam FC baada ya kubandwa mbavu na Ndanda FC leo Februari 01,2015 Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 01, 2015

VPL 2014/2015:-Yanga SC yashindwa kuiengua kileleni Azam FC baada ya kubandwa mbavu na Ndanda FC leo Februari 01,2015 Taifa.

Yanga SC wameshindwa kuifunga Ndanda FC kwenye Mechi ya Ligi Kuu Vodacom iliyochezwa hii Leo Ferbruari 01,2015 kwenye Uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam na kwisha 0-0.


Matokeo haya yamewafanya Yanga SC wapande hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Azam FC ambao wana Pointi 21 huku wote wakiwa wamecheza Mechi sawa 11 kila mmoja.

Nafasi ya Tatu imeshikwa na Mtibwa Sugar ambao wana Pointi 18 kwa Mechi 11.

Mechi inayofuata kwa Yanga ni hapo Jumatano Februari 4,2015  huko Mkwakwani Mjini Tanga dhidi ya Coastal Union.

RATIBA VPL 2014/2015.

Jumatano Februari 4,2015.

Coastal Union v Yanga SC 

Jumamosi Februari 7,2015.

Polisi Moro v Azam FC  
              
Ndanda FC v Stand United  
       
Kagera Sugar v Mgambo JKT  
              
Prisons v Ruvu Shootings  
         
JKT Ruvu v Mbeya City  
            
Coastal Union v Simba   SC
            
Jumapili Februari 8,2015.

Yanga SC v Mtibwa Sugar

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

MSIMAMO.
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
11
6
3
2
15
8
 
7
21
2
Yanga
11
5
4
2
12
7
 
5
19
3
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
 
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
 
0
18
6
Coastal Union
12
4
5
3
10
8
 
2
17
7
Simba
12
3
7
2
13
11
 
2
16
8
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
9
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
 
-2
15
10
Ruvu Shooting
12
4
3
5
7
9
 
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
 
-5
14
13
Stand United
12
2
5
5
7
14
 
-7
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
 
-2
10

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad