AJALI / PICHA:-Watu Sita Wajeruhiwa baada ya Basi na Lori kugongana Mkoani Kilimanjaro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 08, 2015

AJALI / PICHA:-Watu Sita Wajeruhiwa baada ya Basi na Lori kugongana Mkoani Kilimanjaro.

Muonekano wa basi la Harambee baada ya ajali.

 Ajali mbaya imetokea mchana wa Jana Februari 07,2015,katika eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro baada ya basi la Harambee kugongana na lori na kusababisha watu sita kujeruhiwa na wawili kati ya hao kuumia zaidi.

Mtandao huu uliongea na kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro na kathibitisha ajali hiyo kutokea.

Muonekano wa mbele wa lori baada ya ajali.

Muonekano wa ajali baada ya basi la Harambee kugongana na lori eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro mchana wa Jana Februari 07,2015.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad