AFCON 2015:Tazama Picha za Mashabiki wa Equatorial Guinea walivyokinukisha Dakika 35 Uwanjani hadi Polisi kutumia Helkopta kuwaondoa Jana February 05,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 06, 2015

AFCON 2015:Tazama Picha za Mashabiki wa Equatorial Guinea walivyokinukisha Dakika 35 Uwanjani hadi Polisi kutumia Helkopta kuwaondoa Jana February 05,2015.

Baada ya bao la tatu, huku mchezo ukiendelea hapoa jana Februari 05,2015 na ukiwa ni wa Nusu fainali ya AFCON 2015 kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea ,kwa kusalia dakika nane mchezo kumalizika, Mashabiki wa Equatorial Guinea walianza kurusha chupa uwanjani kama picha zinavyoonekana juu na chini  na pia kuwapiga nazo mashabiki wa Ghana, ambao walilazimika kuvamia uwanjani kunusuru maisha yao.



Wachezaji wa Ghana wakiwa wamekingwa na Polisi baada ya kutokea vurugu uwanjani.



Pichani ni Mashabiki wa Equatorial Guinea walikasirishwa mapema tu na kitendo cha refa Eric Castane  kuwapa penalti ya bao la kwanza Ghana na baada ya bao la tatu, hali ilikuwa mbaya kabisa…Mashabiki walianza pole pole kurusha chupa kila refa huyo alipopuliza filimbi. 




Polisi walilazimika kutumia hadi helikopta kuwaondoa uwanjani mashabiki wa Equatorial Guinea na baada ya nusu saa hali ilipotulia Uwanja ulikuwa kama mtupu na Refali Eric Castane akamalizia mchezo. 




Mashabiki wa Equatorial Guinea walikasirishwa mapema tu na kitendo cha refa Eric Castane  kuwapa penalti ya bao la kwanza Ghana na baada ya bao la tatu, hali ilikuwa mbaya kabisa…Mashabiki walianza pole pole kurusha chupa kila refa huyo alipopuliza filimbi.  


 
Polisi walilazimika kutumia hadi helikopta kuwaondoa uwanjani mashabiki wa Equatorial Guinea na baada ya nusu saa hali ilipotulia Uwanja ulikuwa kama mtupu na Refali Eric Castane akamalizia mchezo. 


UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad