AFCON 2015:- Tazama Picha Jinsi Ivory Coast wakifurahi kuwa Mabingwa wa Afrika 2015 Ni Kipa Boubacar Barry the hero. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 09, 2015

AFCON 2015:- Tazama Picha Jinsi Ivory Coast wakifurahi kuwa Mabingwa wa Afrika 2015 Ni Kipa Boubacar Barry the hero.

The Ivory Coast team and staff pose with their Africa Cup of Nations trophy having defeated Ghana 9-8 on penalties on Sunday night 

  Ivory Coast wamekuwa Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea usiku wa jumapili Februari 08,2015.

Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho.

Katika muda wa kawaida wa dakika 90,timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana na kuongezwa dakika zingine na kumaliza dakika 120 bila kufungana pia.

Yaya Toure (centre) celebrates having won the Africa Cup of Nations with the Ivory Coast, following a penalty shoot-out win over Ghana.

Manchester City striker Wilfried Bony holds up hero Boubacar Barry (centre), who scored the winning penalty in the final in Bata .

The Ivory Coast team celebrate landing the Africa Cup of Nations on penalties, their first AFCON title since 1992.





Ghana's midfielder Andre Ayew (left) speaks to Ghana's coach Avram Grant during the 2015 Africa Cup of Nations final ahead of extra-time.

Ivory Coast's Serge Aurier (centre) attempts an acrobatic overhead kick with the surrounding Ghana defence watching on

Malian forward Frederic Kanoute (right) and Egyptian midfielder Mohamed Aboutrika deliver the 2015 Africa Cup of Nations trophy.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad