VIWANJA VYETU:-Rais wa TFF Jamali Malinzi atimiza ahadi Uwanja wa Kaitaba Bukoba waanza kuweka nyasi bandia . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 13, 2015

VIWANJA VYETU:-Rais wa TFF Jamali Malinzi atimiza ahadi Uwanja wa Kaitaba Bukoba waanza kuweka nyasi bandia .

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

Maandalizi ya awali yameanza kaitaba ambapo wataalam wapo Bukoba wakiendelea na kazi ya kuhakikisha uwanja huo unawekewa nyasi bandia.Uwanja huo ni mojawapo ya viwanja vilivyomo katika mpango wa rais wa TFF jamal Malinzi ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoani Kagera (KRFA).Picha/Habari Na:-Harakati News.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad