Mrakibu msaidizi wa Jeshi la polisi (ACP) mkuu
wa kitengo cha elimu kwa umma makao makuu ya usalama barabarani jijini
Dar-es-salaam,Abel Swai,akiwahamasisha abiria wa basi la kampuni ya France line
lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Arusha kutoa taarifa kwa jeshi la
polisi endapo watagundua dereva mlevi au akiendesha gari vibaya,ili hatua za haraka
ziweze kuchukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya"Wait to
send"inayohamasisha madereva kutokutumia simu zao wakiwa wanatumia vyombo
vya moto,Kampeni hiyo imedhaminiwa na Vodacom Tanzania.ZAIDI BOFYA HAPA KUSOMA/KUTAZAMA ZOEZI HILO
|
UNGANANASI KATIKA FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
No comments:
Post a Comment