KUPOTEA AIR ASIA:-Taswira ya Picha wakati Miili ya Abiria waliokufa na Ndege ikiwasili kwa Ajali ya Utambuzi. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, January 02, 2015

demo-image

KUPOTEA AIR ASIA:-Taswira ya Picha wakati Miili ya Abiria waliokufa na Ndege ikiwasili kwa Ajali ya Utambuzi.

.com/simgad/
A1
Siku ya Desemba 30,2014,Maafisa wa  Indonesia walifanikiwa kuopoa miili arobaini kutoka baharini, karibu na yalipo mabaki ya ndege ya abiria ya AirAsia iliyoanguka wakati wa hali mbaya ya hewa siku ya Jumapili Desemba 28,2014.

Miili ilipatikana mara baada ya kugundulika kwa mabaki ya ndege, pamoja na kitu kilichoonekana kuwa ni kifaa cha kujiokoa baharini, mizigo na mlango wa dharura uliopakwa rangi nyeupe na nyekundu.

Watafutaji wa ndege hiyo wa angani pia waligundua kitu kinachoonekana kama kivuli chini ya bahari ambacho kinaaminika kuwa ni sehemu kubwa ya ndege.

Ndege aina ya Airbus A320 ilipotea siku ya Jumapili, ikiwa karibu na nusu ya safari yake ambayo ilikuwa fupi ya saa mbili, kutoka katika mji wa Indonesia, wa Surabaya, kwenda Singapore.

A2

A3

A4

A5

A6

A7
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *